Saturday, February 02, 2013

DR. KAMALA AITANGAZA TANZANIA

 Mh.Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr Diodorus Kamala akiwa katika picha na watendaji wa TANAPA wakati wa maonyesho ya utalii yaliyofanyika nchini Brussels.
Mh.Balozi Dr.Kamala akipokea maelezo toka ka ndugu Crispin Mwinuka toka TANAPA katika maonyesho ya kimataifa ya Utalii Nchini Ubelgiji mjini Brussels.

No comments:

Post a Comment