Wednesday, January 16, 2013

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MWENYEKITI WA UMOJA WA AFRIKA

 Rais Jakaya Mrisho akiongea na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) na Rais wa Benin Mhe Boni Yayi Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 16, 2013.

Rais Jakaya Mrisho na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) na Rais wa Benin Mhe Boni Yayi wakiongea katika mkutano na wanahabari Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 16, 2013.

No comments:

Post a Comment