Wednesday, January 16, 2013

RAIS KIKWETE AFUNGUA JENGO LA HOSPITALI YA HINDU

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na uongozi wa hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada ya kufungua jengo lake jipya.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na baadhi ya wafanyakazi na uongozi wa hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada ya kufungua jengo lake jipya.

No comments:

Post a Comment