Friday, January 11, 2013

MRADI WA AMUA KUWAWEZESHA WENYE HATARI YA KUAMBUKIZWA VIRUSI VYA UKIMWI

Mkurugenzi mtendaji wa shirika lisilo la kiserikali la TAMA linaloratibu mradi wa AMUA Pascal Nchunda akiongea namna mradi  huo utakavyoyanuufaisha makundi yenye hatari ya kuambukizwa virusi vyaUKIMWI katika manispaa ya Bukoba, shirika hilo lina mpango wa kuyapa makundi hayo mtaji wa shilingi milioni 10.

1 comment:

  1. Walengwa wa Ruzuku hizo ni: Akina dada poa, vijana wanaotumia madawa ya kulevya, wavuvi na waishio na VVU/UKIMWI. Walengwa hao wamepatiwa mafunzo ya ujasiriamali na watapewa mitaji ya mzunguko (revolving capital grants) ili kuwawezesha kujikimu kimaisha na hivyo kupunguza uwezekano wa kuambukizwa VVU/UKIMWI kutokana na sababu za kukosa vyanzo vya mapato/fedha. Mafunzo hayo na ruzuku hizo ni kwa hisani ya RFE na TACAIDS.

    ReplyDelete