Tuesday, January 15, 2013

MPANGO WA MEYA WA HAMASHAURI YA BUKOBA WA KUVUNJA SOKO KUU LA BUKOBA JANUARI 15, MWAKA HUUWAGONGA MWAMBA

 Wafanyabiashara wakiendelea na shughuli mbalimbali ndani ya soko kuu la Bukoba, hapa ni magari yakitelemsha ndizi.
 Wafanyabiashara wakiwa ndani ya soko.


 Mwenyekiti wa wafanyabiashara ndani ya soko kuu la Bukoba, Hassan Mbailuka akiongea na waandishi wa habari akielezea mstakabali soko kuu la Bukoba.

Katibu wa wafanyabiashara wa soko la Bukoba, David Damian akiongea na waandishi wa habari.

No comments:

Post a Comment