Wednesday, January 09, 2013

MKOA WA KAGERA ULIVYOSHEHENI VIVUTIO VYA UTALII

Maporomoko ya Kyamnene, yanapatikana mkoani Kagera eneo la Maruku, huwavutia sana watalii.
 Mapango ya kale yanayopatikana mkoani Kagera, mmoja wa watalii akipiga maandishi yaliyandikwa kwenye mapango hayo, yalikuwa yanatumiwa na mababu wa kale.
 Maporomoko ya Bugonzi yanapatika eneo kamachumu, hutumika pia kuzalisha umeme ambao hutumiwa na hospitali ya Ndolage iliyoko mkoani Kagera.
 Camp Site iko kwenye ufukwe wa ziwa victoria hutumiwa na watalii kwa ajili ya mapumziko.
 Mapango hayo.
Mambo ya jua kupambazuka, hiyo ndio mkoa wa kagera wenye vivutio vingi vya utalii ambavyo huwezi kuvipata kwenye maeneo mengine duniani.

No comments:

Post a Comment