Monday, January 07, 2013

KAZI INAYOFANYWA NA WAKALA WA BARABARA (TANROADS) KATIKA MANISPAA YA BUKOBA YA UPOANUZI WA BARABARA

 Wakazi wa manispaa ya Bukoba wameipongeza juhudi za wakala wa barab ara (TANROADS) mkoani Kagera za kupanua eneo la barabara ya Uganda lililoko ndani ya manispaa ya Bukoba toka eneo la Bandari ya Bukoba, kwa nyakati tofauti wamesema barabara hiyo ilikuwa finyu jambo lililokuwa linawapa wakati mgumu watembea kwa miguu,. ukarabati wa barabara hiyo unafanywa na kampuni ya ujenzi ya DEKA.
 Maeneo yaliyoko ndani ya manispaa ambayo yameguswa na upanuzi wa barabara.


Mkandarasi anayefanya kazi ya kupanua barabara ambaye ni kampuni ya DEKA akifanya vitu vyake karibu na maeneo ya hazina ndogo yaliyoko katika manispaa ya Bukoba.

No comments:

Post a Comment