Saturday, January 12, 2013

BALOZI WA TANZANIA NCHINI UBELGIJI ASHIRIKI KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA

 Dr. Diodorus Buberwa Kamala balozi wa Tanzania nchini ubelgiji  (mwenye miwani) akishirikiana na watanzania kutangaza masuala ya utalii wakati wa maonyesho ya utalii yaliyofanyika nchini Ubelgiji.
 Dr Kamala akitoa maelezo kwa waliotembelea banda la maonyesho ya utalii la Tanzania.
Bw. Damian George Mkurugenzi Wa kampuni ya African Breakaway Safaris Limited kutoka Tanzania katika stand ya TTB akitoa maelezo juu ya masuala ya utalii,alikuwa miongoni mwa watanzania walioshiriki kwenye maonyesho ya utalii yaliyofanyika nchini Ubelgiji.

No comments:

Post a Comment