Wednesday, December 12, 2012

REDDS MISS TANZANIA 2012 AWASILI MKOANI KAGERA

 Brigitti Alfred Lyimo Miss Redds Tanzania 2012 (mwenye miwani) akiwa na matroni wake Irene Kalugaba kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba.
 Bw. Gulam wa kuweit akiwa na Miss Redds.
 Mmiliki wa mtandao huu wa kijamii wa tatu toka kulia Audax Mutiganzi, akiwa katika picha ya pamoja na Miss Redds kwenye hoteli ya victorious perch ambayo ni mmoja wa wadhamini wa ziara ya mrembo huyo hapa  nchini Tanzania, kushoto ni alfred Makoye mkuu wa masuala ya kiitifafi wa maandalizi ya kiwatafuta warembo hapa nchini.
 Miss Redds akiongea na waandishi wa habari kwenye ukumbu maalumu wa hoteli ya victorious perch.
 Irene Kalugaba akimpokea miss Redds kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba.
 Hata watumishi wa kampuni ya ndege ya Air Precision hawakubaki nyuma kumpokea mrembo.

No comments:

Post a Comment