Monday, December 10, 2012

MAMBO YA UKAKAMAVU HAYO


Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania akiokota moja ya silaha  iliyovunjika wakati kikosi cha Askari awa kutuliza ghasia FFU kilipotoa heshima kwa Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete  kwenye gwaride la miaka 51 ya uhuru lililofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Novemba 9, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment