Tuesday, December 04, 2012

GARI LILILETA TAFRANI NDANI YA MANISPAA YA BUKOBA

 Gari lililokuwa linaendeshwa  kwa kasi ya ajabu na vijana ndani ya manispaa ya Bukoba wanaodaiwa kuwa walikuwa wamelewa chakali, sereva alikuwa na nia ya kugonga watu hali iliyowafanya waikimbie barabara.
 Mmoja wa vijana waliokuwa ndani ya gari hilo akiwatishia watu, hata hivyo jeshi la polisi lilifanikiwa kuwatia mbaroni.

Mmoja wa vijana akitoa matusi.

No comments:

Post a Comment