Thursday, November 08, 2012

WAZIRI MKUU MKOANI DODOMA

 Waziri Mkuu, Mizen go Pinda akizungumza na Mbunge wa kahama, James Lembeli (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum,Maria Hewa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 7, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Balozi wa Ireland nchini, Mhe.  Fionnuala Gilsenan, Ofisini kwake , Bungeni Mjini Dodoma Novemba 7, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment