Wednesday, November 14, 2012

WARSHA ILIYOANDALIWA NA TAKUKURU YA KUWAJENGEA UWEZO WANAWAKE

 Washiriki wa warsha ya siku mbili iliyoandaliwa na TAKUKURU.
 Washiriki wengine.


 Baadhi ya washiriki wakisikiliza kwa makini hotuba ya mkuu wa TAKUKURU.
 Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Kagera Bi .Domina Mukama akitoa hotuba ya ufunguzi wa warsha.
Washiriki wa warsha wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment