Tuesday, November 13, 2012

WANA CCM DIASPORA WATIA FORA KIZOTA, DODOMA

  Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakisalimiana na  viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Katibu wa CCM tawi la Diaspora UK  Mariamu Mungula.

No comments:

Post a Comment