Monday, November 12, 2012

UGONJWA WA MNYAUKO UNAVYOTESA KAGERA

 Migomba ambayo imeathirika na ugonjwa wa unyanjano maarufu kwa jina la mnyauko.
Ugonjwa wa mnyauko ulivyochangia upatikanaji mdogo wa ndizi mkoani Kagera hili ni soko la kamachumu ambalo ndizi zilikuwa zikipatikana kwa wingi  na kuuzwa kwa bei ndogo, sasa soko hilo lipo kama halipo.

No comments:

Post a Comment