Sunday, November 18, 2012

RAIS KIKWETE AFUNGA MKUTANO WA MAJAJI ARUSHA

Rais Jakaya Kikwete akikufunga mkutano wa siku nne wa Majaji uliofanyika katika hoteli ya Snow Crest jijini Arusha.
 Waheshimiwa majaji wakimsikilia Rais Jakaya Mrisho Kikwete (hayupo pichani) wakati wa kufunga mkutano wa siku nne wa Majaji uliofanyika katika hoteli ya Snow Crest jijini Arusha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala ya Waheshimiwa majaji toka kwa muwakilishi wao, Jaji Dkt Fauz Twalib, wakati wa kufunga mkutano wa siku nne wa Majaji uliofanyika katika hoteli ya Snow Crest jijini Arusha leo Novemba 16, 2012.

No comments:

Post a Comment