Tuesday, November 20, 2012

PINDA ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAKWETA

Rais  Jakaya Kikwete, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Spika wa Bunge Anne Makinda (kushoto)  na katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu,Philemon Lihanjo wakizungumza nyumbani kwa marehemu Jackson Makweta, Boko jijini Dar es salaam ambako walitoa heshima za mwisho kwa marehemu na kumpa pole Mjane wa Marehemu, Twihuvila Makweta.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment