Thursday, November 15, 2012

PINDA AFUNGUA MKUTANO WA WAKUU WA MIKOA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wakuu wa Mikoa Vincent Ole Kone wa Singida (wapili kulia) na  Mhandisi Evarest Ndikilo wa Mwanza (watatu kulia) katikaMkutano Maalum wa Wakuu wa Mikoa, , Makatibu Tawala wa Mikoa  na Wakuu wa Mikoa kwenye ukumbi wa Pius Msekwa Mjini  Dodoma  novemba 15 , 2012. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa katavi, Dr. Rajabu Rutengwe.
 Baadhi ya wakuu wa mikoa wakimsikiliza Waziri mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua mkutano Mkuu Maalum wa Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kwenye ukumbi wa  Pius Msekwa Mjini Dodoma Novemba 15, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments:

Post a Comment