Thursday, November 22, 2012

MSIMU WA SENENE WAENDELEA KUFANA MKOANI KAGERA

 Baaadhi ya wachuuzi wa senene nje ya soko kuu la Bukoba.
 Mmoja wa wafanyabiashara wa senene, anaeleza kuwa bei ya senene kila kukicha inashuka, hii inatokana na ongezeko kubwa la senene, mfupi mdogo unaoonekana pichani ukijazwa unauzwa shilingi 1,000 tofauti na msimu ulipoanza ambapo mfuko huo ulikuwa unaozwa kwa zaidi ya shilingi 10,000.
 Marobota yaliyojaa senene.
 Baadhi ya wananchi katika manispaa ya Bukoba wakichangamkia senene.
Mambo ya senene hayo.

No comments:

Post a Comment