Friday, November 09, 2012

MASSAWE AMBANA MKANDARASI

 Mwakilishi wa MBESSO CONSTRUCTION COMPANY Aliyeshika Kofia Akitoa Maelezo Mbele ya Mkuu wa MKoa Katika Eneo la Mradi.
Mkuu wa Mkoa Kanali mstaafu Fabian Massawe na Timu yake Wakiwa Kwenye Eneo la Malahara Wilayani Muleba Kukagua Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya na Jengo Liliomshinda Mkandalasi Lakini Akalipwa shilingi milioni 20.

No comments:

Post a Comment