Saturday, November 03, 2012

MASSAWE AFANYA MAAJABU ATEMBELEA KISIWA CHA GOZIBA

 Mandhari ya kisiwa cha Goziba.
 Salum Mwalim Meneja Mahusiano ya Nje wa Vodacom Akiongea na Wananchi wa Kisiwa cha Goziba.
Mkuu wa Mkoa kanali mstaafu Fabian Massawe, Katibu wa CCM, Kagera na Salum Mwalim Meneja Mahusiano ya Nje wa Vodacom na RPC Kagera Philipo Karangi Wakiwasili Kisiwani Goziba, Massawe ni mkuu wa mkoa wa kwanza mkoani Kagera kutembelea kisiwa hicho tangu nchi ipate uhuru.

1 comment:

  1. nilishawahi kufika nilifurahi wenyeji wangu waliponiuliza unataka kula samaki wa ss hivi au wa asubuhi nikasema wa ss hivi ndani ya Dk tano aliletwa akiwa mzima nikatengenezewa nikala niliinjoy sn

    ReplyDelete