Wednesday, November 07, 2012

KILELE CHA MAADHIMISHO YA MLIPA KODI KAGERA

 Kikundi cha bendi ya KAKAU.
Mwakilishi wa kampuni ya TWESA akipokea cheti cha ulipaji mzuri wa kodi.
 Philip Fernandes wa kampuni ya Surinder Singh Budh Singh & Co, akipokea cheti cha kampuni hiyo, imeongoza kwa ulipaji mzuri wa kodi mkoani Kagera.
 Mwakilishi wa kampuni ya Magu Shop akipokea cheti cha ushindi, kampuni ya magu shop imekuwa miongoni mwa makampuni yaliyoongoza mkoani Kagera kwa kulipa kodi.
 Kaimu maneja wa mamlaka ya mapato mkoani Kagera (TRA) Enos Mgimba akitoa hotuba wakati wa kilele cha maadhimisho ya wiki ya mlipa kodi yaliyofanyika kwenye ukumbi wa klabu ya Linas iliyoko katika manispaa ya Bukoba.
Katibu tawala wa mkoa wa Kagera, Nassor Mnambila akitoa hotuba ya kilele cha wiki ya mlipa kodi kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe.

No comments:

Post a Comment