Wednesday, November 21, 2012

KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA

 Meya wa manispaa ya Bukoba akiongea wakati wa kikao cha baraza la madiwani.
 Baadhi ya wakuu wa idara wa halmashauri ya manispaa ya Bukoba.
 Madiwani

 Baadhi ya wageni waalikwa na waandishi wa habari.
 Madiwani wakitoa maoni.
Waziri wa maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki alikuwa ni mmoja walioudhuri kikao hicho cha baraza la madiwani.

No comments:

Post a Comment