Wednesday, November 14, 2012

JESHI LA POLISI KAGERA LAZINDUA MRADI WA BODABODA WILAYANI MISENYI

 Maandamano ya uzinduzi wa mradi wa Bodaboda.
 Philip Kalangi, akikata utepe wa kuzindua mradi wa bodaboda.
 Mkurugenzi wa chuo cha Lake Zone Winston Kabantega akiongea.
 Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mkoani Kagera William Mkonda.
 Waendesha pikipiki.
 Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Kagera akiongea.

 Kalangi katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali.
 Wataalamu hawa sio wengine ni China na Bernard.
 Baadhi ya maofisa wa kikosi cha usalama barabarani wakiwa katika picha ya pamoja na waandishi, kutoka kushoto mmiliki wa mtandao huu Audax Mutiganzi, na mwandishi wa ITV Vedasto Msungu.



No comments:

Post a Comment