Wednesday, November 14, 2012

HALMASHAURI KUU YA CCM YACHAGUA WAJUMBE WA SEKRETARIETI

 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha kwanza cha Halmashauri Kuuta Taifa ya CCM (NEC) kwenye ukumbi wa White House mjini Dodoma.
 Katibu wa Siasa na Mahusiano ya Kimataifa, Dkt. Asha-rose Migiro, akitambulishwa.
 Migiro akipongezwa.
Dr Kikwete katika picha ya pamoja na wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM.

No comments:

Post a Comment