Wednesday, October 10, 2012

KIKAO CHA BODI YA BARABARA KAGERA

 Baadhi ya wakuu wa wilaya mkoani Kagera, kutoka kushoto ni mkuu wa wilaya ya Bukoba Bi. Ziporah Pangani, mkuu wa wilaya ya Misenyi Kanali mstaafu Issa Njiku.
 Baadhi ya washiriki wa kikao cha bodi ya barabara ya mkoa wa Kagera.
 Mkuu wa mkoa wa Kagera kanali mstaafu Fabian Massawe akiwahutubia wajumbe wa kikao cha bodi ya barabara ya mkoa huo.
 Baadhi ya viongi[ozi mkoani Kagera walioudhuria kikao cha bodi ya barabara.
Baadhi ya waandisi wa wakala wa barabara mkoani Kagera TANROAD, kulia ni mhandisi Jackson Mbaijo na kushoto mhandisi Mloka.

No comments:

Post a Comment