Tuesday, October 02, 2012

 Madhari ya mji wa Bukoba na sehemu ya viunga vyake.
 Hatua za mwisho za ukarabati wa kanisa katoriki la jimbo la Bukoba ambalo mwili wa marehemu kardinari Laurean Rugambwa utazikwa milele.
 Ndimara Tegambwage akitoa elimu juu ya namna watakavyoomba fedha za ruzuku zinazotolewa na mfuko wa kuwawezesha waandishi wa habari (TMF).
 Mkurugenzi wa TMF Ernest Sungura akitoa ufafanuzi wa maswali yaliyokuwa yanaulizwa na waandishi wa habari wa mkoa wa Kagera.
Baadhi ya waandishi wa habari, wamiliki wa vyombo vya habari wadau mbalimbali wa mkoa wa mkoa wa Kagera waliohudhuria mafunzo ya siku moja yaliyotolewa na TMF ambayo yalifanyika kwenye ukumbi wa jengo la NSSF.
Eda Sanga akitoa maelezo ya namna ya waandishi wa habari wanaoandikia TV na Radio watakavyoomba ruzuku toka TMF , kulia ni Lazia.

No comments:

Post a Comment