Monday, October 01, 2012

Wakazi wa kijiji cha Majimoto wilayani Mlele wakiteka maji kwenye chemchem ya Majimoto ambayo hutoa maji ya moto yasiyopungua wingi hata wakati wa kiangazi. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment