Monday, October 01, 2012

UCHAGUZI WA CCM WILAYA YA BUKOBA VIJIJINI

 Nazir Karamagi (kulia) aliyechaguliwa kwenye nafasi ya ujumbe wa halmashauri kuu ya taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi kutoka wilaya ya Bukoba Vijijini, kushoto mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Bukoba Bw. Kateme.
 Jengo la CCM ambapo uchaguzi wa CCM wilaya ya Bukoba vijijni ulifanyika.
 Wajumbe wa CCM wakipiga kura za kuwachagua viongozi.


Wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM wialaya ya Bukoba vijijini wakibadilishana mawazo wakati uchaguzi wa kuwapata viongozi wapya ukiendelea.

No comments:

Post a Comment