Sunday, October 14, 2012

UCHAGUZI MKUU WA CCM KAGERA

Viongozi wa CCM mkoani Kagera, kulia ni katibu wa CCM wa mkoa wa Kagera wa jumuia ya vijana Adia.
Mbunge wa viti maalumu CCM mkoani Kagera, Bernadetha Mshashu (kushoto).
Costancia Buhiye, mwenye miwani akiingia ukumbini, ndiye aliyeshinda nafasi ya mwenyekiti wa CCM mkoani Kagera,
 Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali mstaafu Fabian Massawe (kushoto) alikuwa miongoni mwa walioudhuria mkutano mkuu wa CCM, kulia ni msimamizi wa uchaguzi mkuu wa CCM Bw. Gachuma.
 Gachuma akiwatambulisha wagombea wa nafasi ya uenyekiti wa CCM mkoani Kagera, toka kushoto Akbar Visram, Khalid Kahauza na Costancia Buhiye aliyeshinga nafasi ya uenyekiti wa mkoa wa Kagera.
Mkuu wa mkoa wa zamani, Jenerali Tumainieli Kiwelu kulia alikuwa miongoni mwa walioudhuria kikao cha CCM, anayefuata ni mwenyekiti wa zamani wa CCM wa mkoa wa Kagera, Pius Ngeze na mwisho kulia ni mmoja wa wazee maarufu mkoani Kagera Abbakar Galiatano.

No comments:

Post a Comment