Wednesday, October 10, 2012

PINDA AKUTANA NA TCD

Waziri Mkuu, Mkuu Mizengo Pinda akiwa na wanjumbe wa Kituo cha Demokrasia (TCD) baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake jijini Dar es salaam Oktoba 8, 2012. Wajumbe hao ni viongoazi wa vyama mbali mbali vya siasa nchini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment