Thursday, October 11, 2012

KIKAO CHA KAMATI YA USHURI YA MKOA WA KAGERA

Mkuu wa mkoa wa Kagera kanali mstaafu Fabian Massawe akifungua kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa wa Kagera.
 Baadhi ya wakuu wa wilaya mkoani Kagera walioudhuria kikao cha kamati yua ushauri ya mkoa wa Kagera.
Baadhi ya wenyeviti wa halmashauri za wilaya mkoani Kagera.
Wajumbe wa sekretarieti mkoani Kagera, kulia ni Fikir Kisimba na kulia ni Richard Kwitega.
 Baadhi ya wajumbe wa kikao cha ushauri mkoani Kagera.
 Baadhi ya wabunge wa mkoa wa Kagera walioudhuria kikao hicho.
 Mkuu wa wilaya ya Ngara Costa Kanyasu kushoto na kamanda wa jeshi la polisi mkoani Kagera Philip Kalangi Kulia walikuwa miongoni mwa walioudhurua kikao hicho.
 Baadhi ya wajumbe wengine.
Mkurugenzi wa chuo kikuu cha mtakatifu Augustin tawi la Bukoba Rev. Dr. Pius.

No comments:

Post a Comment